Tazama wanawake wakicheza hadi raha

Tazama wanawake wakicheza hadi raha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,766
Reaction score
60,578
Hio video sio ya kukosa kuitazama wakina mama wamefurahi na me nimeipenda mitikasi Yao sichoki kui repeat..kwa nyuma naona banc ABC kwenye bango sa sijui walikuwa kitchen party au kwenye uzinduzi wa vicoba sielewi.kama anayejua ilikuwa event gani aniambie wapi nitapata clip yake ndefu.
 
Hio video sio ya kukosa kuitazama wakina mama wamefurahi na me nimeipenda mitikasi Yao sichoki kui repeat..kwa nyuma naona banc ABC kwenye bango sa sijui walikuwa kitchen party au kwenye uzinduzi wa vicoba sielewi.kama anayejua ilikuwa event gani aniambie wapi nitapata clip yake ndefu.View attachment 1922443
Khaaaa mbona fupi sana
 
Back
Top Bottom