Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,272 Reaction score 11,711 Aug 26, 2025 #1 Wee chungulia TU, jiulize kwa Nini havikunywewa. Kataaa muhuni Attachments Screenshot_2025_0826_042116.jpg 150.4 KB · Views: 31
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,648 Reaction score 131,779 Aug 26, 2025 #2 Na hapa ilikuwa ni baada ya mdogo mtu kukamatwa na bunduki za kila aina zaidi ya 70, za kufanyia matukio ya ujangili! Halafu miezi michache baadaye kesi ilifutwa, na Channel Ten ikarudishwa kuwa mali ya chama.
Na hapa ilikuwa ni baada ya mdogo mtu kukamatwa na bunduki za kila aina zaidi ya 70, za kufanyia matukio ya ujangili! Halafu miezi michache baadaye kesi ilifutwa, na Channel Ten ikarudishwa kuwa mali ya chama.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,922 Sep 6, 2025 #4 Kawaida sana... Cc: Mahondaw