Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 196 Nov 13, 2011 #1 Toa maoni yako hapo! eti hao ni wanamagamaba wapya!
U undugukazi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 315 Reaction score 82 Nov 13, 2011 #2 Kidumu chama cha mapinduzi...
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Nov 13, 2011 #3 undugukazi said: Kidumu chama cha mapinduzi... Click to expand... kidumu wapi na nani..?
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,099 Reaction score 9,268 Nov 14, 2011 #4
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 260 Nov 14, 2011 #5 Kwa nje wanaonekana ni wanachama wa magamba lakini moyoni mwao wanawaza namna biashara zao zitakavyoshamiri kwani TRA sasa watakuwa likizo.
Kwa nje wanaonekana ni wanachama wa magamba lakini moyoni mwao wanawaza namna biashara zao zitakavyoshamiri kwani TRA sasa watakuwa likizo.
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 824 Nov 14, 2011 #6 undugukazi said: Kidumu chama cha mapinduzi... Click to expand... Kidumuuu!!! pwa! pwa! pwa! pwa!
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 824 Nov 14, 2011 #7 Kibanga Ampiga MKoloni said: Click to expand... Tatizo la hawa ndugu ni tamaa za kimwili tu!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,656 Nov 14, 2011 #8 hii picha imeokotwa wapi?
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,656 Nov 14, 2011 #9 nimipenda hiyo style yao ya kuangalia maana kila mtu kaangalia kule klikompendeza wakati picha inapigwa
nimipenda hiyo style yao ya kuangalia maana kila mtu kaangalia kule klikompendeza wakati picha inapigwa
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Nov 14, 2011 #10 Hawa ni wezi full! Lakini mwisho wao hauko mbali hata kidogo.
Mwita Matteo JF-Expert Member Joined May 16, 2010 Posts 216 Reaction score 55 Nov 14, 2011 #11 Wanakula kiapo cha kuifilisi nchi
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Nov 14, 2011 #12 Siku hiyo hiyo mwanachama wa CCJ akatumbuiza kiduku
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Nov 14, 2011 #13 Kamwe ufisadi hatuachi ng'o!
Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 196 Nov 14, 2011 Thread starter #14 Kibanga Ampiga MKoloni said: Click to expand... Sura zao tu zinaonyesha wamechoka naona na mvua ikawanyea...........lol! Hawa watu moja kwa moja wanaonesha kuwa wako kimaslahi zaidi kah! hivi kweli mtu unajiunga na ccm wakati huu hata kama ni mapenzi nachama labda................
Kibanga Ampiga MKoloni said: Click to expand... Sura zao tu zinaonyesha wamechoka naona na mvua ikawanyea...........lol! Hawa watu moja kwa moja wanaonesha kuwa wako kimaslahi zaidi kah! hivi kweli mtu unajiunga na ccm wakati huu hata kama ni mapenzi nachama labda................