Tazama matumizi magari ya umma

Tazama matumizi magari ya umma

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,461
Hii nimeikuta Vigwaza mkoani Pwani, juzi.
 
Attachments

  • 20140618_150139.jpg
    20140618_150139.jpg
    418 KB · Views: 2,377
Jamani hata Boss kama anatoka safari asinunue mahitaji ya nyumbani kwake / Nyumba ndogo kisa anatumia Gari ya Serikali/Umma mhh inawezekana siku hizi uko mambo yamebadilika huwenda aitakiwi....
 
Jamani hata Boss kama anatoka safari asinunue mahitaji ya nyumbani kwake / Nyumba ndogo kisa anatumia Gari ya Serikali mhh inawezekana siku hizi uko mambo yamebadilika huwenda aitakiwi....
Huu umezidi matumizi ya nyumbani. Pengine ni wa biashara.
 
Jamani hata Boss kama anatoka safari asinunue mahitaji ya nyumbani kwake / Nyumba ndogo kisa anatumia Gari ya Serikali/Umma mhh inawezekana siku hizi uko mambo yamebadilika huwenda aitakiwi....

Magunia sita?! Hata airport ukiingia na mzigo wa nguo zinazofanana ukadai ni zako za matumizi binafsi, lazima muelezane vizuri na udaiwe kodi...
 
Huu umezidi matumizi ya nyumbani. Pengine ni wa biashara.

Familia zetu za Kitanzania tunazijua inawezekana hapo kuna wadada,Shangazi,Mchepuko, na Wa Njia kuu ili mladi tu wamfurahie mzee katoka safari ndani ya Gari mafuta ya alizeti hayakosi ha!ha!
 
attachment.php

»Noma sana kodi yangu inatumika vibaya,mengine yanasanya abiria,wengine wanapiga nyoka(wanakunywa maziwa) aka wanaiba mafuta na kuyauza
»Magari ya serikali nilisikia mwisho saa 12 jioni kutembea lakini mengine hadi saa 7 usiku yapo yanapiga dili.
 
Huo mkaa umekamatwa, wauzaji walikosa vibali vya maliasili, unapelekwa kwa Ofisi kupigwa mnada.
 
Kwani magari ya umma yalitakiwa yatumikeje bro? Kwanini imekuwa na cabin na sehemu ya kuwekea mzigo? What if huo mkaa ni wa matumizi ya ofisi? Kwani wafanyakazi hawali? Ulifanya jijihada zozote kujiridhisha kwamba mkaa huo ulipakiwa kibiashara?
 
Huu umezidi matumizi ya nyumbani. Pengine ni wa biashara.

Kaka uliona kwenye hilo gari kuna watu wangapi?

Kama kulikuwa na Dereva na abiria wake wanne (assume ni Double cabin) na kila abiria kanunua Gunia lake hayawezi kufika hiyo idadi?

kwa nini unamashaka kuwa ni mzigo wa mtu mmoja tu?
 
Hoja hapa ni matumizi ya mali ya umma. Ukiacha hivi, kuna siku ambulance itabeba mkaa. Kama tulikemea ndege ya rais kubeba majani ya ng'ombe kutola dodoma kwenda zanzibar, tulikemea kwa sababu ndege ni ya umma.
 
Bila shaka ni la idara ya maliasili hayo ni magunia yaliyokamatwa yanaenda kuhifadhiwa hadi wahusika walete vibali vya kuvuna mkaa. Ni watumishi wachache sana wanatumia mkaa kwani umeme wa prof . Muwongo upo wa kutosha.
 
Kwani magari ya umma yalitakiwa yatumikeje bro? Kwanini imekuwa na cabin na sehemu ya kuwekea mzigo? What if huo mkaa ni wa matumizi ya ofisi? Kwani wafanyakazi hawali? Ulifanya jijihada zozote kujiridhisha kwamba mkaa huo ulipakiwa kibiashara?

Kaka labda ungemuorodheshea ofisi za umma zinazotumia mkaa!!!
 
Bora ya hiyo, nasikia ndege ya rais wa nchi jrani ilibeba mkaa wa makamu wa rais wakati kodi tunalipia sisi. Na ukizingatia ndege yenyewe ni mtumba, ukikanyaga mafuta tu inatafuna lita saba za diesel na oil lita nne.
 
ndo serikali mbovu ya ccm kila mtu anakula kwenye sekta yake
 
Nakumbuka enzi zile za mwalimu.. Magari ya umma na serikali mwisho jumamosi saa 7 mchana.. Jumapili hukuti gari la umma wala serikali barabarani sembuse kubeba mizigo kama hiyo..
 
Back
Top Bottom