TAYOA AJIRA PORTAL

TAYOA AJIRA PORTAL

rmvicentrm

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
147
Reaction score
26
Habari wanajukwaa,
Hii ndiyo sehemu(Tayoa ajira portal) ambayo utapata matangazo ya ajira kwenye mashirika na taasisi mbalimbali kwa uhakika.
Kwa nini nasema hivyo?
Tayoa ajira portal website ni wazuri na wamekuwa wakiweka matangazo ya kazi kupitia tangazo la mhitaji mwenyewe yaani/scanned copy in form of pdf matangazo machache hawahitaji uombe kupitia site yao ila wanakupa address na qualifications zinazotakiwa
TOFAUTI NA
ZoomTanzania
Brightenmonday
Mkaguzi and likes
Tayoa is the best site/forum for job seeker.
 
kwanin umeongea hvyo? na waliopa ajira katika hayo mashiri wakufikilieje?
dislike thread mkuu
 
Mi nauliza kama wameshaita watu kwenye usahili katika kazi walizotangaza mwezi june
 
Habari wanajukwaa,
Hii ndiyo sehemu(Tayoa ajira portal) ambayo utapata matangazo ya ajira kwenye mashirika na taasisi mbalimbali kwa uhakika.
Kwa nini nasema hivyo?
Tayoa ajira portal website ni wazuri na wamekuwa wakiweka matangazo ya kazi kupitia tangazo la mhitaji mwenyewe yaani/scanned copy in form of pdf matangazo machache hawahitaji uombe kupitia site yao ila wanakupa address na qualifications zinazotakiwa
TOFAUTI NA
ZoomTanzania
Brightenmonday
Mkaguzi and likes
Tayoa is the best site/forum for job seeker.
Ushauri: Ukitangaza biashara yako epuka kuwaponda wengine, Unaweza kujutia maneno yako haya. Usionyeshe ubora wa huduma yako tu, bali pia obyesha huduma yako itamsaidiaje mteja wako.
 
Back
Top Bottom