Tayari Wameshamkata.

Nimemsikiliza vzr sn mzee Joseph Butiku Ole wake Kikwete ajifanye kuona umaarufu wa mtu bila kuuona wa chama
 
Mupande mushuke muweweseke rais ni lowassa
 
ID sio tija hapa kinachotakiwa ni safari ya matumaini mpaka magogoni
 
huyo mtu wenu vp,bado anapumua tu.tupeni updates.
 
kadoda11

Sehemu Zingine Nitapingana Na Wewe POPOMA Ila Katika Suala La Huyu FISADI Nipo Pamoja Na Wewe. Kumbe Muda Mwingine Huwa Una AKILI, Na Naamini Hizi AKILI kadoda11 Umezipata Baada Ya Kuanza Kubishana Na Mimi. Sasa Utakuwa Rafiki Yangu Kwani Unaonyesha Jinsi Gani Unavyoimarika KIUPEO. Big Up POPOMA!
 
Last edited by a moderator:

haya sawa,ila pole sana,naona mods wameshaunga kile ki-ID chako ktk ule uzi mwingine.popoma mkubwa weee.hahahahaha
 
haya sawa,ila pole sana,naona mods wameshaunga kile ki-ID chako ktk ule uzi mwingine.popoma mkubwa weee.hahahahaha

ID Ninayoijua Ni Hii Na Hili Unaloniambia Ni Taarifa Mpya Kwangu Na Ambayo Bado Sijaithibitisha Labda Nianze Kulifuatilia. Akhsante Kwa Taarifa!
 
pole sana mkuu kwa kukukwaza,inaonekana una mahaba yasiyo ya kawaida na huyo aliyekatwa.hahahahaha.

kadoda 11;
Tafadhali usiniharibie usiku wangu huu. Soma taratibu uzi wangu uuelewe. Nasema, tena kwa herufi kuubwa; HATA WANGEMSHINDANISHA HUYO ALIYESEMWA KUWA KAKATWA WAKIMLETA NA KUMSHINDANISHA NA KUKU, NITAMCHAGUA KUKU ANIONGOZE SI ENL. Full stop.
Nimemchukia aliyeiweka hiyo picha iliyo haribiwa. Huyu ni mtu ka weye, usimdhalilishe mpaka utu wake. Anastahili heshima zake.

Mahaba na yeye kwangu yametokea wapi??
 
basi sawa mkuu.natanguliza samahani.
 
Safari hii kelele zitakuwa nyingi kwa rais ajaye
mi mwenyewe nasubiri kwa hamu nizisikie hizo kelele maana kwa CCM hii ya 2015 ilivyo pagaranyika,akatwe asikatwe kelele lazima zitapigwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…