Tayari huko, Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv

Tayari huko, Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,481
Reaction score
5,063
Kumeanza kuchangamka

Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv, wakielekea kwenye majengo ya serikali katika maandamano makubwa yanayotikisa utawala. Kulingana na BRICS News, hali hii inaonyesha kana kwamba nguvu ya mfumo wa dunia wa upande mmoja inaanza kuyumba ndani ya nchi, huku shinikizo la mfumo wa dunia wa pande nyingi likiongezeka, wakati BRICS ikitazama mgawanyiko wa ndani ukiongezeka sambamba na changamoto za nje.


Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa utawala huo au ni mwamko wa wananchi?


 
mwendo wa mazishi tu
 

Attachments

  • Screenshot_20260315-192242_Instagram.jpg
    Screenshot_20260315-192242_Instagram.jpg
    359.6 KB · Views: 2

Mamamae! Kwisha habari yao, tuliawaambia Iran imsimchukulie poa hamkusikia, Netanyau ameshauwawa na Israeli inawaka moto.
 
Back
Top Bottom