Hehehehe! mkuu kwa kua like hakuna, basi kula like hiyo kwa reply.. Hii sarcasm umetisha sana, japo mleta mada hujamtendea haki kabisa, na mdomo wake haufunguki sasa hivi sijui atacheka vipi.
Unatakiwa kurudi kwenye Clinic uliyong'orea jino, Wao watajua kuna tatizo gani. Inawezekana ikawa muscle spasms kwa ajili ya procedure kuwa ndefu. Hii exercise na pain killer inamaliza
Take this seriously. Unaweza kuwa na nerve damage na ukiendelea kucheza unaweza kupooza permanently. Infection pia yaweza kukuletea matatizo makubwa bacteria wakaingia kwenye blood stream. Rafiki yetu aliwahi kupoteza maisha kimchezo mchezo hivi hivi.
Rudi kwa waliong'oa hilo jino upesi. Something is not right. Please take this seriously!