Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #21 NewGapi said: Mkuu, auditing ya mwaka unafanya? As upo na mhuri? Click to expand... Yes mhuri upo mkuu
NewGapi said: Mkuu, auditing ya mwaka unafanya? As upo na mhuri? Click to expand... Yes mhuri upo mkuu
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #22 NewGapi said: Mkuu, auditing ya mwaka unafanya? As upo na mhuri? Click to expand... Yes,Ndiyo tunafanya mkuu na mhuri upo.Karibu
NewGapi said: Mkuu, auditing ya mwaka unafanya? As upo na mhuri? Click to expand... Yes,Ndiyo tunafanya mkuu na mhuri upo.Karibu
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #23 Lelyonka said: VP, mnaandaa business plan nzuri kwa wateja wenu pia? Click to expand... Bado hakuna implementation kwenye kuandaa business plan nzuri.
Lelyonka said: VP, mnaandaa business plan nzuri kwa wateja wenu pia? Click to expand... Bado hakuna implementation kwenye kuandaa business plan nzuri.
kitaboy JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 341 Reaction score 1,229 May 23, 2021 #24 Gharama zako zikoje?
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #25 kitaboy said: Gharama zako zikoje? Click to expand... Karibu PM kwa mazungumzo mkuu
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,839 Reaction score 13,148 May 23, 2021 #26 VIP nikupatie kijna angu ana cpa nataka ajifunze Kaz kupitia wew
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #27 goroko77 said: VIP nikupatie kijna angu ana cpa nataka ajifunze Kaz kupitia wew Click to expand... Ohhh, that's great..Ila nitamhitaji in the future kwasababu mwenyewe ndo nimeanza
goroko77 said: VIP nikupatie kijna angu ana cpa nataka ajifunze Kaz kupitia wew Click to expand... Ohhh, that's great..Ila nitamhitaji in the future kwasababu mwenyewe ndo nimeanza
T TIN 14 Member Joined Apr 15, 2021 Posts 66 Reaction score 111 May 23, 2021 #28 Malaika nakucheck tufanye kazi
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 23, 2021 Thread starter #29 Karibu sana boss
U Unknown23 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 231 Reaction score 440 May 24, 2021 #30 Mungu akutangulie katika safari yako ya mafanikio
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 May 24, 2021 Thread starter #31 Mwajuma muhasu said: Mungu akutangulie katika safari yako ya mafanikio Click to expand... Amina, nashukuru sana mkuu
Mwajuma muhasu said: Mungu akutangulie katika safari yako ya mafanikio Click to expand... Amina, nashukuru sana mkuu
Malaika_financials Member Joined Apr 27, 2021 Posts 38 Reaction score 32 Jun 11, 2021 Thread starter #32 Habari zenu wapendwa, Je unataka kulipa kodi ya biashara na hujui pakuanzia? Karibu sana kwa ajili ya ushauri na kuelekezwa namna ya kulipa kodi, Kujua kodi yako unayodaiwa TRA na jinsi ya kuilipa. Kufanyiwa mahesabu yako ya mwaka,Ukaguzi wa mahesabu, Efiling,Provisional tax,Paye and sdl, Withholding Tax and Stamp Duty, na mengineyo. NB, Mwisho wa kuandaa mahesabu ya mwaka 2020 ni tarehe 30/06/2021 bila penalty. Bado kuna muda.Karibuni sana
Habari zenu wapendwa, Je unataka kulipa kodi ya biashara na hujui pakuanzia? Karibu sana kwa ajili ya ushauri na kuelekezwa namna ya kulipa kodi, Kujua kodi yako unayodaiwa TRA na jinsi ya kuilipa. Kufanyiwa mahesabu yako ya mwaka,Ukaguzi wa mahesabu, Efiling,Provisional tax,Paye and sdl, Withholding Tax and Stamp Duty, na mengineyo. NB, Mwisho wa kuandaa mahesabu ya mwaka 2020 ni tarehe 30/06/2021 bila penalty. Bado kuna muda.Karibuni sana