TAUSI viwanja

TAUSI viwanja

KLE

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
35
Reaction score
15
Wadau habari, naomba kuuliza hivi viwanja vinavyouzwa tausi ukishalipia Instalment ya kwanza ikatokea ya pili umefeli kulipa kwa wakati, je ile pesa ya kwanza ndiyo umepoteza na kiwanja unanyang'anywa au hii imekaaje wadau, Asante
 
Umeshajijibu mkuu. Pale kuna terms and conditions zao. Zisome kabla hujalipia
 
Back
Top Bottom