Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,732 Oct 13, 2012 #1 Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee
Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee
Johas Senior Member Joined Feb 13, 2009 Posts 141 Reaction score 32 Oct 13, 2012 #2 Mr. President said: Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee Click to expand... Mr.president.! Sina hakika na Bata bukini lakini Taus ni Nyara ya serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, so far "a buyer beware"
Mr. President said: Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee Click to expand... Mr.president.! Sina hakika na Bata bukini lakini Taus ni Nyara ya serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, so far "a buyer beware"
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,410 Oct 13, 2012 #3 Kama unataka tausi njoo maeneo ya magogoni utawapata wako kibao wanarandaranda huwa wanaingia mpaka ndani ya nyumba yangu nimepamba manyoya yao kibao sitting room.
Kama unataka tausi njoo maeneo ya magogoni utawapata wako kibao wanarandaranda huwa wanaingia mpaka ndani ya nyumba yangu nimepamba manyoya yao kibao sitting room.