tatzo

  • Thread starter MASOUD NYUMBANYINGI
  • Start date

M

MASOUD NYUMBANYINGI

Member
Joined
Nov 11, 2012
Messages
31
Points
0
M

MASOUD NYUMBANYINGI

Member
Joined Nov 11, 2012
31 0
napatwa na maumivu baada ya kukojoa, nmekwenda hospitali mbalimbali nmepima mkojo na damu zaid ya mara tano syphilis naambiwa cna sehemu zote hzo, mkojo naambiwa pus cells 5-10 hpf ambazo naweza kunywa maji zikaisha, nmekunywa antibiotics nazopewa hospitali mpk nmechoka tatizo haliishi(doxy,cephalaxyne,azythromicine,cipro etc), nmechoma sindano za powersafe but still tatizo liko palepale zaidi ya miezi sita sasa still mamb bado,now nahisi pains mpaka kwenye testes napata tabu sana wana jf naombeni msaada kwa anayejua alternative medicine coz kila dr unaemconsult dawa ni hzohzo tu ambazo hazinisaidii kabisa. so msaada wenu unahusika sana.thanx
 

Forum statistics

Threads 1,295,998
Members 498,495
Posts 31,230,267
Top