kwa waliocheza na ambao wanacheza TATU MZUKA,
je kuna formula yoyote kwenye kupata zile namba 3 za bahati?,
nimejaribu kuangalia matokeo na nimeona kama kuna kiformula flan.
kwa waliocheza na ambao wanacheza TATU MZUKA,
je kuna formula yoyote kwenye kupata zile namba 3 za bahati?,
nimejaribu kuangalia matokeo na nimeona kama kuna kiformula flan.
Juzi niliweka 500 na nikapata laki 1, ila formula ya juz nimecheza jana na leo nikatoka hola, napatia namba 2 tu..
ndio nikawaza pengine kuna watu wana formula nyingne..
probability ipo, odds ya kupatia ni 1/999.... ila nina iman kuna namba haziwah kushinda kabisa tangu mchezo uanze,
na kuna namba zinajirudia, hivyo probability ya kupatia yaweza ongezeka hata kufika 1/2000..au kupungua na kuwa 1/300..
Ila again kuna formula. i will hit that one day.
kuna hesabu za combination na permutation pale..