Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?
sasa ujichore juma halafu aje kukuoa kasimu mboni itakuwa balaa!
Sehemu nyeti umeenda mbali sana
Mie hata mtu akijichora kidoti tu tupa kule
Sembuse ana mijina ya watu sirini??!!
Kwanza namla afu namtema lol
Sehemu nyeti umeenda mbali sana
Mie hata mtu akijichora kidoti tu tupa kule
Sembuse ana mijina ya watu sirini??!!
Kwanza namla afu namtema lol
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?
sio kwamba atakukula alafu akutemeSehemu nyeti umeenda mbali sana
Mie hata mtu akijichora kidoti tu tupa kule
Sembuse ana mijina ya watu sirini??!!
Kwanza namla afu namtema lol
unamlaje?? ukiona hiyo tatuu bado hamu ya kumla itakuwepo?
sio kwamba atakukula alafu akuteme
ahahahahahahaha
Leo upo km ME?