lifeofmshaba JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 867 Reaction score 219 May 1, 2011 #1 mtu anaweza zani unamwangalia kumbe wapi
lifeofmshaba JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 867 Reaction score 219 May 1, 2011 Thread starter #2 huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi
huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 May 1, 2011 #3 lifeofmshaba said: huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi Click to expand... NAUNGA MKONO HOJA MKUU! Hiyo ni mambo ya ajira2!
lifeofmshaba said: huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi Click to expand... NAUNGA MKONO HOJA MKUU! Hiyo ni mambo ya ajira2!
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 May 1, 2011 #4 simo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
VIKWAZO JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 1,900 Reaction score 583 May 1, 2011 #5 hafadhari karibu mkuu, kwa shirika letu la reli vipi hii TATOO haina musaada huko maana nasikia kuna wezi wa mali za umma pia Magulumangu said: simo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand...
hafadhari karibu mkuu, kwa shirika letu la reli vipi hii TATOO haina musaada huko maana nasikia kuna wezi wa mali za umma pia Magulumangu said: simo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand...
Mnyamahodzo JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 1,941 Reaction score 1,011 May 1, 2011 #6 Lol!! Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!!
Lol!! Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!!
lifeofmshaba JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 867 Reaction score 219 May 1, 2011 Thread starter #7 vipi hii tukitumia kuwatishia mafisadi wanaweza kuweweseka na wengine kuanguka majukwani Mnyamahodzo said: Lol!! Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!! Click to expand...
vipi hii tukitumia kuwatishia mafisadi wanaweza kuweweseka na wengine kuanguka majukwani Mnyamahodzo said: Lol!! Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!! Click to expand...
VIKWAZO JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 1,900 Reaction score 583 May 4, 2011 #8 vipi angekuwa dereva wa bajaji, kungekuwa na ajali lifeofmshaba said: huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi Click to expand...
vipi angekuwa dereva wa bajaji, kungekuwa na ajali lifeofmshaba said: huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi Click to expand...
VIKWAZO JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 1,900 Reaction score 583 May 4, 2011 #9 View attachment 29304 kijiweni story zikikolea