ni kuhusiana na yale mambo yet yale xaxa hapa kwenye simu yangu nimeset poa ila mesej ninayopewa bada ya kuandika pale kwenye hme page ni welcome to ngix.hapa suluhisho ni nini wadau hapa kwa simu? then kuna web ya mamuv embu chekin na kwa madude yet inakubal. Ni McKFluxMovies.com PAMOJA WAT WANGU
bdo suluisho wa2 wangu
mkuu naomba na mie unipm... then kama kuna mtu ana link ya idm nzuri ambayo inasupport proxy plzzzzzzzzzzz, tusaidianenisasa hivi jamaa wakali kinoma...proxy hazitolewi kamanjugu coz kuna yule jamaa devukota alizimwaga hapa jamvini ma mode wakafuta post nzima. Mie mwanafunzi 2 hapa so nimejaribu kukusaidia niwezavyo......... Lakini mbona hiyo inayoishia na 35 inapiga mzigo kama kawa mkuu?
mkuu naomba na mie unipm... then kama kuna mtu ana link ya idm nzuri ambayo inasupport proxy plzzzzzzzzzzz, tusaidianeni