Mzanzibari na Mtanganyika ni kitu kimoja, tofauti ni ubinafsi wa siasa zetu zenye kujijali kuliko kutazama picha pana.
Kumbuka kuna mtu Mama yake ni mwenyeji wa Makunduchi na Baba yake ni mwenyeji wa Kilwa Kivinje.
Kumbuka kuna mwingine Mama yake ni mwenyeji wa Songea na Baba yake ni mwenyeji wa Wete Pemba hawa wote wawili ni Watanzania kwa kuzaliwa kwao achana na hizo siasa za kirasimu za kwenye makaratasi.