Tatizo sio Muungano!!!

Tatizo sio Muungano!!!

Mdokezi2

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
70
Reaction score
5
Nimefuatilia kwa karibu kabisa kuhusu taarifa mbalimbali na maelezo yanayotolewa kuhusiana na muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania!! Maelezo mengi katika hayo ni yasiyojitosheleza na hayatoi mwanga kwa wananchi waweze kuujua kwa utoshelevu na kuwawezesha kuutetea!! Naiomba serikali na wananchi wote wanaotoa maelezo ya kutosha na sahihi kuhusu muungano!!
 
Umesema wazi. Tatizo ni ubinafsi na udini.jusaa na bwana wake wanataka kuleta mababu zao watumikishe nduguz zetu weusi hapo Znz. Hilo halitawezekana kamwe. Sisi ni nchi moja taifa moja.


The king.
 
Yaguju mmelishwa sumu wewe c mzanzibar ni mzanzibara hapa tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili km wewe hutaki hama
 
Back
Top Bottom