sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Tatizo la CCM ni mawazo ya kizee na matendo ya kibepari. Kabla ya kubadili uongozi, kwanza wabadili fikra zao juu ya taifa la sasa la tz.. Wasiendelee kuamini kwamba mtanzania wa sasa ndio yule yule wa zamani, wa "ndio mzee" kwa kila kitu.. Watu wanataka kuhoji kwa kila kitu na si kupelekeshwa.
mkuu ... mbona mawazo yako ni tofauti na ID yako....
mkuu ... mbona mawazo yako ni tofauti na ID yako....
It is true Makamba and his secretariat is not a problem at all. Tatizo ni ufisadi, sera mbovu za privatatization, kukalibisha wawekazaji matapeli kuchukua ardhi ya wananchi kwa nguvu, mikataba mibovu na wizi wa madini unaofanyika usiku na mchana etc.Tatizo la CCM ni mawazo ya kizee na matendo ya kibepari. Kabla ya kubadili uongozi, kwanza wabadili fikra zao juu ya taifa la sasa la tz.. Wasiendelee kuamini kwamba mtanzania wa sasa ndio yule yule wa zamani, wa "ndio mzee" kwa kila kitu.. Watu wanataka kuhoji kwa kila kitu na si kupelekeshwa.
Hit the point; TATIZO LA CCM NI KUKUMBATIA UFISADI period!
ccm ilitakuwa kuvua gamba la ufisadi
Naona gamba limegoma kuvurika
Huo ndiyo ukweli, bila kubadili fikra wataendelea kujivua magamba kama nyoka wakati wa jua kali lakini bado itatokea ngozi nyingine ya aina ileile. Kama ccm wanataka kweli kuwa chama cha mfano isiishie makamba tu, kuna wengi zaidi ya makamba bado ndani ya chama na mawazo yao bado ni ya miaka ya enzi za TANU na ASP, bila gamba hilo kuondolewa itakuwa bure kwani itakuwa sawa na kukata mti matawi ukiamini yataota mengine ya tofautiTatizo la CCM ni mawazo ya kizee na matendo ya kibepari. Kabla ya kubadili uongozi, kwanza wabadili fikra zao juu ya taifa la sasa la tz.. Wasiendelee kuamini kwamba mtanzania wa sasa ndio yule yule wa zamani, wa "ndio mzee" kwa kila kitu.. Watu wanataka kuhoji kwa kila kitu na si kupelekeshwa.