Mkuu na mimi simu yangu ina tatizo kama hilo. Nimecheki baseband ipo? Je ni proof kwamba cm yangu ni unlocked?
Nikienda call setting inasema network or sim card error
Taja aina ya simu waweza pata msaada haraka. Simu nyingine ili uweze kuandika/kubadili Imei unatumia code ambayo inakupeleka moja kwa moja kwenye system ya kubadirishia. kama code number ikigoma ndo unatumia software.