Wana jf naomba kujua hapa kwenye mausiano inapotokea mwanaume anatembea na rafiki wa girlfriend wake tatizo ni nani kati yao?
Mwenye makosa ni mwanamke kujifanya disminder na kuachia best zake kuchat na boyfrnd.kwangu mm nshachimba biti sitaki best angu achat na my hubby.na kitu kingine kumcfia sana boy kwa shost kunafanya amtaman
we umeolewa maana unavyozichanganya hizo BF
na my Hubby LOL
he is mine kihalali,namuita lolote nalojisikia coz yote halali yake.usiogope
Mwenye makosa ni mwanamke kujifanya disminder na kuachia best zake kuchat na boyfrnd.kwangu mm nshachimba biti sitaki best angu achat na my hubby.na kitu kingine kumcfia sana boy kwa shost kunafanya amtaman
Wote wana utindio wa ubongo!