Tatizo ni uzinzi au ulevi?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Jirani yangu aliondoka juzi usiku akamuaga mkewe kuwa anaenda bar kuzuga. Hakurudi, akipigiwa simu zilikuwa zinasikika sauti za walevi, wake kwa waume. Mwisho simu ikawa haipatikani kabisa.
Leo muda huu wa saa nne ndo mumewe anarejea, amelewa, na amechoka. Suruali haina mkanda na inamdondoka, mbaya zaidi ni kwamba kwa ndani inaonekana chupi ya kike ikiwa imevaliwa na huyo kaka.
Mkewe kamwingiza ndani, umbea zaidi ntawaleteeni baadae.
Ila hii aibu imetokana na nini, pombe au wanawake?
 
Nazjaz leo tukanywee wapi? Pale Fair way leo kuna ka mvuto flani hivi.......
 
Mke yupi kati ya wale watatu nilio nao?

Yule uliye baki naye (aliye kuwa nyumba ndogo ukaweka kuwa nyumba kubwa) , otherwise kama wale wawili walio kupiga burn wamekuhusu kukanyaga kwao.
 
hahahaha.......walibadilishana jezi...si unajua baada ya game...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…