J JACADUOGO2. JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 930 Reaction score 220 Jul 29, 2011 #1 Kila swali analoulizwa Naibu waziri wa Mambo ya ndani jibu lake ni Ufinyu wa Bajeti! Je, hii hali maana yake ni nini na hii hali itaendelea mpaka lini?
Kila swali analoulizwa Naibu waziri wa Mambo ya ndani jibu lake ni Ufinyu wa Bajeti! Je, hii hali maana yake ni nini na hii hali itaendelea mpaka lini?