Weka picha!
Weka picha!
seriously ???😕unashangaa kuombwa lak 2 tuu,??ameona akufukuze vip??yan wewe ungekua unampa angeomba ?mmezid kupenda dezo na nyie,kma huna ela tafuta mtu wa class yako ambae ataitaj labda elfu 20,wanaume wa cku izi mizigo no carering wanataka kulalana tuu,mkalalane na d...d..a zenu basi,na nyie humjui mtu vizur mnataka kulalana ,ndo sababu tunafanya ivyo ukiambiwa hela unatoa macho
Ni aina fulani ya umalaya...ila wao hawajui!!!
Weka picha!
Ni aina fulani ya umalaya...ila wao hawajui!!!
uwiiii mbavu zangu mie......................
back to topic. kuna wanaume wanapenda kujimwambafy wakiwa wanatongoza ili waonekane wanapesa.