Dawa ya watu rigid ni usanii tu
True story; Kwetu alikuja jamaa mkristo akataka kuoa kwa mama mkubwa wazee wakakomaa na jamaa akakubali kubadili dini na jina juu hapo sisy kibendi juu basi tukala mpunga na maulid juu. After a while jamaa haendi masjid wala nini na akiamua anaenda church na mitungi as usual...dada halalamiki rasmi na wazee midomo wazi watoto wawili now
REALITY
Ni mambo magumu ila inategemea na position ya wote ndani ya familia zenu pia ,kama wewe ndo right hand man wa mzee wako then kuna kipindi inabidi ujinyime kwa manufaa ya familia yako na ndio hapo pagumu.
Nilipitia hilo nikiwa chuo n I loved the girl but had no choice zaid ya kutafuta mwingine ili ku maintain tranquility in both families NGUMU ILA INAWEZEKANA!!!!!!
Utaitwa selfish,huna msimamo,huna mapenzi ya kweli,msanii na kadhalika ila kama mwanamume itabidi tu uje na suluhisho na halitakuwa na furaha kwa pande zote ila lazima uamue kwa maisha yako na wanaokuzunguka na huo ndio uanaume sasa..kunakipindi inabidi utangulize maslahi ya familia halafu wewe baadae