Tatizo ni CCM sio Samia Suluhu Hassan

Tatizo ni CCM sio Samia Suluhu Hassan

Hidden Diamond

Senior Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
156
Reaction score
318
Yote yanayo tokea sasa hivi ni sababu ya CCM na lawama zote sio apewe Samia Hassan suluhu. CCM ilitengeneza mifumo ya ovyo ambayo kila mtu akiwa kiongozi anajiona kashamaliza kila kitu, mtu akiwa kiongozi chini ya mifumo ya CCM anaweza kuua, kubaka, kuiba, kufanya biashara haramu pasipo kushurutishwa na chombo chochote cha serikali iwe ni mahakama au polisi imagine Leo hii CCM hata katiba Yao ndani ya chama chao wanaivunja vp kuhusu katiba ambayo imebeba maslahi ya WATanzania itashindwaje kuvunjwa.

Huyu mama sometimes asilaumiwe Sana guys Maana hata Leo hii tumuombee kifo anguke sasa hivi alafu makamu wake Nchimbi achukue nchi kama yeye ilivyokuwa kwa magufuli bado Tanzania ikiendelea kuwa chini ya mifumo ya CCM bado naye nchimbi tutamuona Samia version 2 tu. Yale mauaji ya oktoba 29 chanzo ni CCM Samia anabaki kuwa other factor tu. Kikubwa ni kummuomba mungu serikali hii ya CCM ianguke na sio kumuomba mungu amuangushe Samia.

Trust me hata huyo makamu wake akichukua nchi bado Tu litakuwa tatizo.ccm ni ukoo WA panya popote wakisikia vishindo wanakimbia mbio na kuendelea kuwajaza panya ndani mwisho wake unaanza kuwakaribisha nyoka ndani ya nyumba yako.

Haya yote yanayoendelea CCM ndio tatizo. Imagine kwa sababu ya CCM mahakama na polisi wameungana kuikandamiza jamii.

Naona kuna baadhi ya machawa wanampa kiburi mama na wanashindwa kumshauri baadhi ya vitu vya msingi kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu anyway tarehe Tisa is Loading
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Back
Top Bottom