Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Mar 28, 2011 #1 Kwanini tusiwe tunatumia tu kiswahili kwani kuna dhambi??? Beast = Best ????????
samanya Member Joined Feb 1, 2011 Posts 48 Reaction score 6 Mar 28, 2011 #2 Sio dhambi lakini wenzetu wa A.Mashariki wengi hawajui Kiswahili.:A S-omg::caked:
Papa Diana JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 304 Reaction score 22 Mar 28, 2011 #3 Typing error tu mkuu!!! Beast...... A iko karibu na S kwenye keyboard!!!
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 568 Mar 28, 2011 #4 Duh, Beast........best. maana mbili tofauti kabisa. nadhani walikuwa na haraka.
Deodat JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 1,274 Reaction score 275 Mar 29, 2011 #5 Papa Diana said: Typing error tu mkuu!!! Beast...... A iko karibu na S kwenye keyboard!!! Click to expand... Ina maana baada ya ku-type hawakucheki spelling errors? UZEMBE TU!
Papa Diana said: Typing error tu mkuu!!! Beast...... A iko karibu na S kwenye keyboard!!! Click to expand... Ina maana baada ya ku-type hawakucheki spelling errors? UZEMBE TU!