Kama ni converter ya video jarbu kuitafuta any video converter (AVC) search online utaipata ni nyepes sana kutumiaAsante mkuu kwa kuanisha uzi maalum kwa kutatua changamoto kuhusu PC.
Binafsi jana nilipishana na hela kwa ishu ambayo inahusu ku-convert video file zipo MP4 kwenda MPEG4.
Flash ndio imebeba videos halafu zicheze kwenye device siikumbuki vizuri ila ina uwezo wa kucheza DVD na cd plus usb
Nahisi kama inaweza kurejea hii case. Msaada tafadhali japo katika kujibiidisha nimepata FORMAT FACTORY... Kila nikiconvert naishi 3gp na GIF ila hazikucheza kwenye ile device.
Kama ni converter ya video jarbu kuitafuta any video converter (AVC) search online utaipata ni nyepes sana kutumia
# ni paid software so jarbu kuitafuta ambayo ipo activated already mkuu
Pirate
SorryIngia Google tafuta ambayo ishakuwa activated/cracked zipo nying uki-search usikate tamaa
Pirate
Labda jarbu zile originally DVD player devices, pia nasikia baadhi ya TV Zina play ukiconect tu zinaonyesha list ya file zako zote but pia aziplay kila kitu ni only media filesAah! afadhali
Mwenzenu naomba mnijuze....je kuna deki yenye uwezo wa kutumia external hard drive?
na inaitwaje. Plz!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi matatizo ya PC yako yanafanana na sisi hapa home.PC yangu haiwaki tena ilianza hivi
Then
Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ahsanteKama ambayo ishakuwa imelipiwa kwa lugha nyepes mkuu
Pirate
Yani tatizo no hard disk aisom au au pc aiwak mkuu em jarbu kueleza vizurDesktop PC, dell. Haisomi hard disc....haiwaki kabisa, hapo shida itakua ni nini? Nimejaribu kutoa hard disc na kuzirudisha tena...lakini hakuna majibu sahihi. Hebu saidia
Yani una click tu Kisha inakuletea iyo notification au uki-right click ndio Inakupa iyo notification??Msaada tutani..
Nina Laptop yangu Dell N series.
Ukiiwasha na ku click au hata kuselect icon yoyote kwenye desktop au hata kwenye folder tu inaleta ile msg km nataka ni idelete.(are you sure you want to send this folder to recycle bin?.na italeta huo ujumbe zaidi ya mara 100 as if nimehold ile button ya delete. nimejaribu hata kuchomoa ile button ya delete ila bado tatizo linaendelea.. msaada hapo wakuu..
Em jarbu hii njia mkuu tuoneHp workstation xw4600 ukiiwasha inakuletea smart card authentification smart card not present nimeangaika kureset cmos button,pia nimeremove cmos battery kwa ajili ya kureset bios lakini bado tatizo liko palepale mwenye solution plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ninapo click tu au kuselect icon yoyote ndo inanipa hiyo mambo..Yani una click tu Kisha inakuletea iyo notification au uki-right click ndio Inakupa iyo notification??
Pirate