Cmd command kwenye desktop yangu ukifungua tu inapotea, nimejaribu kufanya njia zote nimeshindwa, na hua napenda sn kutumia cmd kujifunza command mbalimbali.
Habari bro,
Niko nafanya installation ya Win 10 kwenye dell pc model ya kisasa ya Optiplex 3050. Shida ni kwamba haimaliza installation ina run ikifika ku reboot inarudia process za nyuma. Hapo shida iko wapi?. Win 10 ni genuine.
Wakuu, msaada kidogo, nina computer aina ya acer TRAVEL MATE....sasa nikifungua excel sheet nikiwa nafanya kazi zangu ile kasa (Ka alama ka kujumlisha + huwa kanacheza cheza kama kana blink hiv, tatizo litakuwa nini.........