Tatizo langu ni pale ninaposhikwa na haja ndogo, nikichelewa kidogo tu inatoka bila ruhusa yangu, na inajirudia hata nikitoka muda huo huo msalani narudi tena. Hapa unatoka (kidogo) kwa maumivu.
Muone daktari ni tatizo la muscles, ukiweza fanya mazoezi ya kuubana mkojo, yaani kojoa ukifika katikati bana kwanza kwa sekunde alafu endelea ili kuimarisha muscles.