frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
Wadau nimenunua Nokia Lumia 520 ili niweze kuitumia kama wireless modem lakini cha kushangaza kila nikiwasha wireless inaji-switch off kunipa ujumbe kwamba "connection is unavailable". Nimeenda voda pale mlimani wameshindwa kunisaidia. Wadau nisaidieni maushauri.