Tatizo la watanzania ni wabishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la watanzania ni wabishi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jan 28, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  nafuatilia mdahalo wa katiba mpya itv. Mwenyekiti ni mbish, Msekwa ni mbish na Wachangiaji ni wabish. Kipindi kinaelekea kuisha na hakuna chochote kilichoongelewa. Tatizo ni ubish wa mwenyekiti na hajui nini kinachotakiwa kuongelewa.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani hujaelewa vizuri!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  unaendelea humu! wabishi wameishaanza!!​
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Ili mijadala mikubwa mikubwa km hii iweze kufana na watu kupata ladha tofauti tofauti moderators wa mijadala/makongamano wanatakiwa kusoma upepo mapema mathalan kwa kufanya reseach kabla....na baada ya hapo watambue wazi kuna aina tofauti tofauti ya mambo yanayoweza kuibuka katikati ya shughuli na namna ya kuyastahimili ili kuepusha mkanganyiko wa mambo km leo!
   
Loading...