Tatizo la vipele kwenye korodani

Cunch

Senior Member
Apr 19, 2014
162
142
Habarini wadau, natumaini weekend inaenda poa.Kuna mwanafunzi wangu kanifuata na kuniomba nimsaidie kutatua tatizo alilonalo. ni hivi,
Ameota vipele vidogo kwenye korodani vilivyoungana vinawasha na vinatoa maji.Je, tatizo ni nini hasa? Na matibabu yake yakoje?
 
Si useme tu kuwa tatizo linakusibu ww badala ya kusingizia wenzako!

Nenda hospital ukatibiwe gonjwa la zinaa hilo
 
Hahahaaa,Mzee Raza mi huwa sipo kihivyoo naogopa kuchepuka mke wangu bondia.
Ila Ushauli mzuri ngoja nimjulishe mhusika.
 
Back
Top Bottom