thirteen06
Senior Member
- May 17, 2021
- 137
- 120
Moja kati ya maeneo katika nchi yetu ambayo yanayotumia umeme kutoka nchi jirani Ni wilaya ya bukoba mkoani kagera.
Wilaya hii hupokea umeme kutoka nchi jirani ya uganda. Ni nadra Sana kusikia umeme unakatika katika maeneo haya ambayo umeme wake unatokea nchi jirani ya uganda na hata ukikatika Basi Ni kwa muda mfupi Sana utarejea. Labda tujaribu kujifunza kwa wenzetu wa Uganda wamewezaje?
Huduma nyingi za kiserikali hutegemea umeme, hospitali, mashirika ya serikali, binafsi, TRA, huduma za zakawaida za kila siku, biashara ,viwanda Yani taja vyote muhimu kwa ustawi wa nchi.
Tusubiri stiegler's gorge? Maendeleo yanatusubiri? Isije kuwa stiegler's gorge ikakamilika tukaendelea kuwa na shida ile ile maana tuliamini gesi itakuwa suluhu lakini tatizo nililelile.