Tatizo la umeme Karakata

Tatizo la umeme Karakata

mmongoro

Member
Joined
Mar 31, 2019
Posts
66
Reaction score
52
Habari zenu wakuu
kuna tatizo la umeme katika maeneo ya Karakata na viunga vyake toka jana ssa7 jioni umeme hauwez kuwasha hata taa mbaya zaidi unapanda na kushuka na kila baada ya sekunde 10 unakata na kuwaka imekuwa kero kubwa vitu ndani vinaharibika hivi Tanesco hamlioni hili au ni dharau au mnataka mtuletee hasara ya kuharibikiwa vitu ndani?
 
Back
Top Bottom