Tatizo la tumbo kuuma mwanamke na vichomi vingi

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,913
Reaction score
11,317
Habari za muda huu

Kuna rafiki yangu wa kike anashida ya tumbo kumuuma kusikia vichomi kwa wingi na kushindwa kupata mzunguko wa siku zake

Kuna kipindi aliambiwa ana uchafu mfuko wa uzazi akasafishwa ila shida ni ile ile kupata mzunguko ni tatizo na hajawahi kuzaa je hilo tatizo ni lipi na matibabu yake ni yapi?

Maana aliambiwa asipokuwa makini anaweza asiweze kushika ujauzito

JF doctors msaada tafadhali.
 
Wewe nenda hosp... mpeleke mwenza wako hosp acha na JF dokta...

Hosp zipo nyingi sana kuanzia hapo ulipo... ukicheza mtakuja kata mguu wakati mlikuwa na uwezo wa kutibu mapema mguu (ni mfano)

Angalia msije ng’oa kizazi...!
 
Yaani hospital ameenda gharama nyingi zimetumika ila hakuna outcomes

Ultrasound mara 3 kila hospital inasema iki dawa kusafisha anafanya but the same
 
Pole yake Homoni zake zitakuwa zmechenga kama hapati hdh kwa wakati mwambie atafte mizizi ya mpera na miziz ya mbaazi achanganye kwa kukatakata vpande vdogovdgo achemshe anywe kwa sku 3 aone majbu yake. Ànakunywa kikombe kutwa mara 2 ndani ya hizo siku 3
 
Itasaidia pia na vichomi na tumbo kuacha kuuma?
 
Khusu vichomi anapaswa kuapata mafuta ya nyonyo awe anachua tumbo kuuma litaacha akitumia hyo dawa ya kwanza sema tumbo lipo la aina mbili kuna tumbo la maumivu wakat wa hedh au baada ya hedh pia kuna tumbo la chango kama chango kwa wanawake ambalo mara nyingi hili halina wakat maalumu je lake ni lipi
 
Yaani hospital ameenda gharama nyingi zimetumika ila hakuna outcomes

Ultrasound mara 3 kila hospital inasema iki dawa kusafisha anafanya but the same
Sasa mkuu.....
Madaktari wa jf wamwandikie dawa mgonjwa bila kumpima?
Utapata ushauri wa madaktari Mia...utachagua upi?
 
Khusu vichomi anapaswa kuapata mafuta ya nyonyo awe anachua tumbo kuuma litaacha akitumia hyo dawa ya kwanza ,
Sio kwanza tujue nini kinasababisha vichomi?
 
Khusu vichomi anapaswa kuapata mafuta ya nyonyo awe anachua tumbo kuuma litaacha akitumia hyo dawa ya kwanza sema tumbo lipo la aina mbili kuna tumbo la maumivu wakat wa hedh au baada ya hedh pia kuna tumbo la chango kama chango kwa wanawake ambalo mara nyingi hili halina wakat maalumu je lake ni lipi
Ni chango nazani maana halina mda maalumu
 
Khusu vichomi anapaswa kuapata mafuta ya nyonyo awe anachua tumbo kuuma litaacha akitumia hyo dawa ya kwanza sema tumbo lipo la aina mbili kuna tumbo la maumivu wakat wa hedh au baada ya hedh pia kuna tumbo la chango kama chango kwa wanawake ambalo mara nyingi hili halina wakat maalumu je lake ni lipi
Anasema ni chango boss
 
Anasema ni chango boss
Kama ni chango atafute hii ktu majan yake achemshe kwa dakka 10 hiv anakunywa ktwa mara 3 kwa sku 7 hii nzr sana inasafisha kila kitu kuhusu uzazi
IMG-20220114-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom