princess square
Member
- Dec 5, 2019
- 62
- 99
Unatakiwa uishi kulingana na mazingira, hiyo line iweke pembeni kwanza tafuta line nyingine ambayo haisumbui maeneno hayo uitumie.Wanajamvi natumai nipo sehemu sasa ambapo naweza kupata msaada kutoka wa wataalam wa Jf.
Wakati nipo dar nilikuwa natumia mtandao wa ttcl kwenye vifurushi vya internet na kasi yake ilikuwa ni ya kuridhisha kulingana na matumizi yangu.
Wiki iliyopita nimeingia kigoma ndipo nimeanza kupata tatizo na kero za huu mtandao speed yake ni ndogo sana inasoma 0B/s.
Nikawapigia huduma kwa wateja nikakutana na kero nyingine zaidi ya dk 20 wananisilikizisha visauti vyao bila kupokea simu yangu
Nilipiga zaidi ya mara 3 na kutumia dk 57 bila kupokelewa simu yangu.
Nilivyo MZALENDO nikajifika kwenye ofisi zao kigoma mjini karibu na ofisi ya posta "niliambiwa eneo niliopo halina tatizo lolote labda tatizo lipo kwenye simu yangu"
Nikajikuta namtaza mtoa maelezo nikibaki nasikitika maana maelezo aliyokuwa ananipa sijui amesoma wapi kwa kweli niliumia sana.
Binafsi sina elimu ya mambo ya IT lakini Jf imenitoa ushamba.
Nikaenda kwa muhudumu mwingine kupata msaada zaidi, naye akanidirect kwa mtu wa data kwa kunirudisha kwa mtu yule yule.
Hasira zikaanza kunipanda maana nilikuwa na kazi ya muhimu kuifanya ilinibidi niondoke tu bila tatizo langu kutatuliwa
Naombeni msaada namna ya kusolve hili tatizo au mwenye namba ya mtaalam wa data kutoka dar es salaam aweze kunisaidia.
NB: Nimeanza kutumia ttcl mwaka 2015 lakini sasa naona uzalendo utanishinda kwa kweli.
Naomba kuwasilisha kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh kwahiyo ni tatizo ambalo haliwezi kutatuliwa?Unatakiwa uishi kulingana na mazingira, hiyo line iweke pembeni kwanza tafuta line nyingine ambayo haisumbui maeneno hayo uitumie.
TTCL hawawezi tatuwa shida yako kwa leo mkuu, ebu jaribu kutumia Halotel ama VodacomDuuuh kwahiyo ni tatizo ambalo haliwezi kutatuliwa?
Pia kigoma mjini ni mtandao upi upo vizuri kwa kasi ya internet anayeweza anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ndugu yangu, hapo sina namna kuachana nao maana nitakuwepo huku kwa muda mrefu. Ila basi Ttcl wanasafari ndefu sikuwahi fikiria kuwaacha nimejitahidi kuwa mzalendo sana kwa shirika letu la umma lakini itanibidi tu.Pole kwa changamoto unayo ipitia forn the name called "mzalendo".
Siku nyingine kama unakazi ya muhimu unaenda kuifanya eneo tofauti na ulilo zowea, jitahidi tu kuangalia ni mtandao gani ambao upo vizuri kwa upande huo na kisha jiunge tu mkuu.
Huko Kigoma nadhani Halotel sio mbaya kwa matumizu ya internet, pia inasemekana ni nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu yangu nashukuru kwa ushauri mkuu.TTCL hawawezi tatuwa shida yako kwa leo mkuu, ebu jaribu kutumia Halotel ama Vodacom
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wakati mwengine jifunze kuachana na uzalendo maana unaweza ukajikuta unaumia ama kuharibikiwa kwasababu ya kuwa mzalendo.Asante ndugu yangu, hapo sina namna kuachana nao maana nitakuwepo huku kwa muda mrefu. Ila basi Ttcl wanasafari ndefu sikuwahi fikiria kuwaacha nimejitahidi kuwa mzalendo sana kwa shirika letu la umma lakini itanibidi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado linakusumbua tu?Wanajamvi natumai nipo sehemu sasa ambapo naweza kupata msaada kutoka wa wataalam wa JF.
Wakati nipo Dar nilikuwa natumia mtandao wa TTCL kwenye vifurushi vya internet na kasi yake ilikuwa ni ya kuridhisha kulingana na matumizi yangu.
Wiki iliyopita nimeingia Kigoma ndipo nimeanza kupata tatizo na kero za huu mtandao speed yake ni ndogo sana inasoma 0B/s.
Nikawapigia huduma kwa wateja nikakutana na kero nyingine zaidi ya dakika 20 wananisilikizisha visauti vyao bila kupokea simu yangu.
Nilipiga zaidi ya mara 3 na kutumia dakika 57 bila kupokelewa simu yangu.
Nilivyo mzalendo nikajifika kwenye ofisi zao Kigoma Mjini karibu na ofisi ya posta "niliambiwa eneo niliopo halina tatizo lolote labda tatizo lipo kwenye simu yangu".
Nikajikuta namtazama mtoa maelezo nikibaki nasikitika maana maelezo aliyokuwa ananipa sijui amesoma wapi kwa kweli niliumia sana.
Binafsi sina elimu ya mambo ya IT lakini JF imenitoa ushamba.
Nikaenda kwa mhudumu mwingine kupata msaada zaidi, naye akanidirect kwa mtu wa data kwa kunirudisha kwa mtu yule yule.
Hasira zikaanza kunipanda maana nilikuwa na kazi ya muhimu kuifanya ilinibidi niondoke tu bila tatizo langu kutatuliwa
Naombeni msaada namna ya kusolve hili tatizo au mwenye namba ya mtaalamu wa data kutoka Dar es salaam aweze kunisaidia.
NB: Nimeanza kutumia TTCL mwaka 2015 lakini sasa naona uzalendo utanishinda kwa kweli.
Naomba kuwasilisha kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.mimi kwangu sms haziendi yani unatuma sms 5 inaenda moja.Wanajamvi natumai nipo sehemu sasa ambapo naweza kupata msaada kutoka wa wataalam wa JF.
Wakati nipo Dar nilikuwa natumia mtandao wa TTCL kwenye vifurushi vya internet na kasi yake ilikuwa ni ya kuridhisha kulingana na matumizi yangu.
Wiki iliyopita nimeingia Kigoma ndipo nimeanza kupata tatizo na kero za huu mtandao speed yake ni ndogo sana inasoma 0B/s.
Nikawapigia huduma kwa wateja nikakutana na kero nyingine zaidi ya dakika 20 wananisilikizisha visauti vyao bila kupokea simu yangu.
Nilipiga zaidi ya mara 3 na kutumia dakika 57 bila kupokelewa simu yangu.
Nilivyo mzalendo nikajifika kwenye ofisi zao Kigoma Mjini karibu na ofisi ya posta "niliambiwa eneo niliopo halina tatizo lolote labda tatizo lipo kwenye simu yangu".
Nikajikuta namtazama mtoa maelezo nikibaki nasikitika maana maelezo aliyokuwa ananipa sijui amesoma wapi kwa kweli niliumia sana.
Binafsi sina elimu ya mambo ya IT lakini JF imenitoa ushamba.
Nikaenda kwa mhudumu mwingine kupata msaada zaidi, naye akanidirect kwa mtu wa data kwa kunirudisha kwa mtu yule yule.
Hasira zikaanza kunipanda maana nilikuwa na kazi ya muhimu kuifanya ilinibidi niondoke tu bila tatizo langu kutatuliwa
Naombeni msaada namna ya kusolve hili tatizo au mwenye namba ya mtaalamu wa data kutoka Dar es salaam aweze kunisaidia.
NB: Nimeanza kutumia TTCL mwaka 2015 lakini sasa naona uzalendo utanishinda kwa kweli.
Naomba kuwasilisha kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.mimi kwangu sms haziendi yani unatuma sms 5 inaenda moja.
Leo nimewapigia simu huduma kwa wateja .nimesubiria kama dkk 30 .anapokea mtu namueleza tatizo ananiambia unatumia kitochi au smart phone.
Fanya restart simu yako
Alafu ujaribu kutuma tena.
Ivi kweli huduma kwa wateja ananiambia restart simu .
Sijui ata wanawaokotaga wapi hao watu