SYMBOLOGIST
Member
- Apr 10, 2014
- 72
- 32
Wanajamvi..
Kwa muda mrefu imekuwa nikitafakar tatizo has la timu yetu ya taifa kushindwa kufanya vzr ktk mechi zake mbalimbal,
nikagundua makocha tulionao sio wazur kwenye kutafuta ushindi...wachezaj wetu hawatofautian sana viwango na nch zingine nying za afrika ila tatizo ni kocha!!!...siku tukipata kocha sahihi...hakyanani tunaoboa afcon na hta wc
emu tusaidie kutuambia sifa za kocha sahihi na utoe mifano ya kocha sahihi atayefaa kwa timu yetu ya taifa.
Emu tusaidie kutuambia sifa za kocha sahihi na utoe mifano ya kocha sahihi atayefaa kwa timu yetu ya Taifa.
kocha wa dunia mwinyijuma muumini anafaa sana taifa stars
Tatizo ni TFF na wachezaji wenyewe wasiojua kuwa michezo ni ajira wao kubeba msemo wa zamani "michezo ni afya"
kocha sahihi ni yule ambae ni "proven winner" kwa mfano herve renard(samahani km nimekosea spelling) yule kocha alieipa zambia afcon au yule burkina fasso kwny afcon ya 2013...yaan kwa kifup kocha mwenye rekodi ya mafanikioEmu tusaidie kutuambia sifa za kocha sahihi na utoe mifano ya kocha sahihi atayefaa kwa timu yetu ya Taifa.
Maximo na rekodi gani???maximo arudiiii
hapo nilipobold daaaah...Tatizo hatuna asili ya mpira wa miguu, tunalazimisha. Hata tukileta malaika afundishe haiwezekani. Tunapoteza muda mwingi fedha nyingi kwa kitu ambacho sio fani yetu. Komaeni na riadha ndondi, volley ball basketball nk itawezekana