FOX21
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 496
- 930
Hamjambo humu ndani, naomba kuelimishwa tatzo lililo nipata ili nijue pakuanzia . Subwoofer yangu aina ya AILIPU tangu ninunue ina miaka 4 ila tangu wiki ilio pita imenza tatzo la kupoteza bass hadi niwe Kama naongeza au kupunguza sauti kwenye button sio kwa njia ya remote ndio ina shituka na kurudisha bass.
Je, ndugu zangu kwa anaefahamu tatzo litakuwa ni nini?🙏🙏
Je, ndugu zangu kwa anaefahamu tatzo litakuwa ni nini?🙏🙏