Tatizo la Speed ya internet kwenye simu naomba msaada

Tatizo la Speed ya internet kwenye simu naomba msaada

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Waungwana ninatumia Android device ipo slow sana hasa kwenye upande wa internet, kwa mara ya kwanza nikai-restore lakini tatizo liko palepale.

Nikaamua kuifanyia Hard reset lkn bado tatzo nalo lipo pale ple na nikiingia Play store inaandika hiv CONNECTION ERROR RETRY Wakat internet ipo on na MB za kutosha zipo

Nb: Simu hii inashida kubwa sana kwa upande huu wa internet na si kwingineko.

Chief mkwawa naomba msaada wako na Ushauri wako juu ya tatizo hili na wengine Pia naombeni mnisaidie kutatua tatzo hili mna linaniumiza kichwa sanaaaaa.

Nawasilisha.
 
Unganisha android yako na Google account. Afu uwe karibu na mnara ulio na 3g hasa sehemu za mjini ndo pana 3g
 
Namimi tatizo hua linanipata kama hilo ila tatizo ni network coz mahali nilipo hakuna 3G
 
Back
Top Bottom