Tatizo la simu yangu

PrinceH

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
58
Reaction score
10
simu yangu nikiitumia huwa inapata moto na kuisha chaji haraka nisaidieni tatizo ni nini?
 
Toa maelezo yote...simu gani,ina mda gani nk

ni sony ericsson T715 yani nina betri mbili lakini hata masaa matatu hayafiki pindi nikianza kutumia,natumia mda mwingi kuchaji kuliko kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…