Habari za muda wadau?
Na tatizo moja Simu yangu imegoma kuingizia chaji kwa njia ya kawaida kwa muda. Niikiweka charger kwenye soketi ya umeme haipeleki lakini nikitumia wire ya USB kuchajia kwenye TV/deki inapeleka bila tatizo. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
Msaada Tafadhali.
Mchana mwema