Tatizo la simu aina ya x-2

Tatizo la simu aina ya x-2

ngege

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Hello,
jaman naomba msaada sim yangu ya Nokia aina ya x-2 ukidownload file la PDF halafu akataka kulifungua naambiwa file not supportive hiv nifanye nini na hili tatizo?
 
x 2 ipi maana x 2. zina sub model zake. pia umeambiwa file not supportive maana yake simu yako ni ndogo.
 
Nisaidie mkuu
sim yangu ni
X2-01
V 8
RM 709
 
Back
Top Bottom