Tatizo la Rolling Back kwenye Vodafone Moderm.

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Wadau kwa siku za hivi karibuni hizi modem za Vodafone k3770 na 3771 kwa kweli hazikubali kuistall kwwenye window x au vista zinaleta hii message(picha chini). hivi tatizo ni nini wadau.
View attachment vodafone.bmp


nitashukuru kwa kujua namna ya kupata ufumbuzi
 
mkuu mara nyingi kama ni tatizo la rolling back action huwa linasababishwa na viruses kwenye PC,fanya clean boot alafu install drivers na kila kitu hakikisha upo safe kama unatumia flash then install moderm if hilo ndo tatizo
 


njia rahisi chomeka mordem yako halafu copy software ya mordem yako tengeneza folder kwenye deskto yako halafu paste ile software ya mordem yako ktk folder baada ya hapo chomoa mordem fungua folder lako install hiyo software bila mordem ikimaliza ku install chomeka mordem yako mchezo utakuwa umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…