Saulloson
Senior Member
- May 25, 2012
- 103
- 35
Salaaam waungwana
Msaada Tafadhari

;Nina tatizo kwenye ngozi ya mwili wangu,badhi ya maeneo yamepoteza rangi yake yamekuwq na rangi mpaka nywele nazo zimekua kama zimewekwa breach.Kuna daktari wa ngozi nilienda kumuona aliniambiq ni shida ya cell zinazosaidia kutengeneza ngozi,hivyo nisihangaike kutibu kitu ambacho sidhani kama niliridhia .Hivyo basi nimekuja mbele yenu kama kuna mtu anajua ni nini sababu na Tiba msaada tafadhari.
chini ni picha zinazoonyesha jinsi ngozi ilivyo kwa sasa


Msaada Tafadhari


;Nina tatizo kwenye ngozi ya mwili wangu,badhi ya maeneo yamepoteza rangi yake yamekuwq na rangi mpaka nywele nazo zimekua kama zimewekwa breach.Kuna daktari wa ngozi nilienda kumuona aliniambiq ni shida ya cell zinazosaidia kutengeneza ngozi,hivyo nisihangaike kutibu kitu ambacho sidhani kama niliridhia .Hivyo basi nimekuja mbele yenu kama kuna mtu anajua ni nini sababu na Tiba msaada tafadhari.chini ni picha zinazoonyesha jinsi ngozi ilivyo kwa sasa

