Tatizo la patch kwenye PES 13 Naomba msaada

Qifrishy

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
169
Reaction score
42
Habari wakuu. Nime install PES 13 na patch zake hivi karibun kwa io imekua latest ila shida ni moja tu nikitaka cheza exihibition match game lina jifunga, vivyo hivyo nikitaka ingia kwenye Game plan.

Nani ameshawai kumbana na tatizo kama ili? na utatuzi wake unakuaje?

Ahasante
 
huwez fanya pes13 ikawa latest kwa patch official na maelezo yako yapo simple sana kuweza kusaidiwa
 
labda mkuu nitoe maelezo yapi maana nmeona nifupishe kidogo.

kikubwa ni hio patch sababu mi pia ninayo pes13 lakini patch latest ni ya msimu uliopita official toka pesedit wenyewe ambayo kama sjakosea ni v6. ila kuna jamaa wametoa patch ya msimu huu ila sio official hivyo kama ndio hio ulioiweka inawezekana ikawa na bugs za kutosha tu. hakikisha ni official hio patch toka pes edit wenyewe.

pia patch zikitoka wanalenga version ya game ambayo ni latest kwa wakati huo, chunguza compability ya patch na version ya game pia
 

nashukuru sana.
ngoja nichunguze hayo uliyosema alaf nitakupa feedback.
 
Kaka ingawa mimi ni mnazi wa Fifa, nakushauri download PES2015 mpya ikiwa na DLC na Update pack nayo ni 3.4gbtu kuliko kusumbuka na hiyo kitu
 
Chief mkwawa naomba ile link ya pes 2012 ya android nakumbuka kuna Uzi uliwahi kuweka lakini siukumbuki Naomba msaada wako mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…