Gwaks makono
Senior Member
- Aug 27, 2011
- 109
- 16
hapana mkuu hii application imekuja na simu nina miezi sita toka nianze kuitumia lakini hili tatizo limeanza kama wiki 3 zilizopita!!!hiyo application umeiweka wewe,?au imekuja na simu,una mna gani toka umeanza kutumia hiyo simu?
Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru sana kwa msaada!!!
mkuu cijakupata sorrymkuu una uhakika gani hio app ndio inayomaliza charge? Na sidhani huko ku update playlist kunatumia network as long as inatumia miziki yako ya simu.
Labda unambie kua una mtindo wa kustream miziki ya online. Inaitwaje hio application?
Nafkiri cha muhimu hapo wewe uwe unachange network iwe edge wakati ukiwa hutumii network
hapana mkuu hii application imekuja na simu nina miezi sita toka nianze kuitumia lakini hili tatizo limeanza kama wiki 3 zilizopita!!!
weka hii APPLICATION netqin mobile seurity, ina firewall itakayokuwezesha kublock app yeyote isitumie internet.
mkuu kwani kuna netqin ya java? Si ipo symbian na android tu?
nilkuwa nafikiri hiyo asha inasupport symbian. Kumbe ni s40
Hiyo nokia inatatizo la charge sana sidhani kama hiyo application inasababisha nilikuwa nayo nikampa mtu ilinishinda sana
delete hiyo program
vipi mkuu kwa hiyo hapo inatakiwa nifanyaje!!!!!!
kwani kuna fundi wa simu kweli????mkuu ulinunua ikiwa mpya au?,kitu ambacho kinaweza kutumia charge kwa kiasi kikubwa ni kama unatumia wireless,au iko kwenye 3g muda wote,kama si hivi tuta assume kuwa betri yake si nzima au mfumo wake wa power si mzuri,utakuwa unadrain betry,kunakuwa na abnormal power consumption.unaweza ktafuta betry ya simu kama hiyo uangalie,au zima 3g na wireless ukiwa huna matumizi na net,au mpekekee fundi wa simu aiangalie.
Mdau charge inaweza kuisha bila kuwa unatumia simu aidha kusikiliza music au kuchat mfano naicharge inakuwa full hadi ninapolala naichomoa then asubuhi nakuta imebaki ba moja...inaweza kuwatatizo la charge kweli??????