Habari,
Msaada tafadhali kwa wale wataalamu wa simu. Simu yangu nilibadili line ya nchi nyingine niliporudisha ya Tanzania, Tigo imekuwa haifuction vitu kadhaa kufungua internet, Instagram, YouTube, any browser haifungui.
Leo nimefanya kuireset kila kitu still ni lile lile natumia HTC Desire Eye. Msaada please nini nifanye iweze kurudi kama mwanzo.