Tatizo la ndevu kwa wanawake

Tatizo la ndevu kwa wanawake

Srinivan Ramanujan

Senior Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
159
Reaction score
202
Habari

Katika tembea tembea yangu jijini Dar-es-salaam hasa kwenye usafiri wa daladala nimekuwa nikikutana na wanawake wengi sana wenye tatizo la kuota ndevu kidevuni. Tatizo hili limekuwa sugu sana kwa dada zetu na limekuwa kikwazo kwao katika shughuli zao za kila siku.

Ningependa wadau wa JF tujumuike pamoja kuwashauri na kuwatia moyo dada zetu bila kusahau kujadiri tatizo hili kwa upana zaidi.

maswali:
je, nini chanzo cha hili tatizo la wanawake kuota ndevu? pia kuna dawa inayoweza kutibu tatizo hili?
 
Nadhani Hormonal imbalance

Vyakula wanavyokula vinaenda kuharibu mfumo mzima wa hormone Sasa kwa mikoa km mbeya ambayo kuna vipodozi vingi vinatoka nchi jirani plus viazi vya chips ambavyo kwa sisi wakulima tunajua vinaoga dawa maana sio kupigwa dawa.Haya yote yanachangia kuharibu hormones zao hence uchebe.

Ni sawa na wanaume wanakula chips yai zakisasa zinaenda kupandisha estrogen na kushusha testosterone hapo ndo unashangaa mwanaume unatoka tako au unakuwa soft sana km mmama,hatari sana shehe[emoji30][emoji30][emoji30]..


Hizi agri chemicals ni hatari sana
 
Back
Top Bottom