Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
Sababu ya kuwashwa ni: JOTO
Ufanye nini?
OGA MAJI ya Baridi ukiweza tia Barafu
Utababuka ngozi na virija vya jasho vitaanza kupumua vizuri na muwasho utaacha mara moja
Zingatia sana hii:
Ukimaliza kuoga
usijifute na Taulo ili maji yafyonzwe fyonzwe kwenye Ngozi
Hakikisha haujipangusi na Taulo kabisa bakia na hayo maji mwilini mpaka yakauke yenyewe mwilini, hii ni muhimu zaidi ndio unapona muwasho
Ndio unapona hivyo
Ogea Sabuni ya Medicated yoyote mfano AZA, Tetmosol, Family, Deltol, etc
MUHIMU:
Usiende Hospital utaishia kupewa Paracetamol tu basi na ugonjwa utaambiwa huna
Baada ya kuoga na maji kukaukia mwilini
usijipakae mafuta ya aina yoyote panda kitandani lala kesho ukiamka utaona unaanza kupona taratibu, ukifanya siku 3 au 4 utakua tayari umepona na tatizo limeacha hapo unaweza kuendelea na utaratibu wako
SABABU:
Ni JOTO Joto limeongezeka sana